• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

KASULU DC YAENDELEA KUWAJENGEA UWEZO WALIMU WA MADARASA YA AWALI

Posted on: June 3rd, 2025

Na Mwandishi Wetu

Katika kuhakikisha kuwa walimu wanajengewa uwezo wa kitaaluma kazini,Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma leo Jumanne Juni 3,2025 imezindua mafunzo ya siku tatu ya kusoma,kuandika na kuhesabu (KKK) kwa walimu kutoka shule 88 ndani ya wilaya hiyo.

Mafunzo hayo, yanayofadhiliwa na Mradi wa Shule Bora, yamewalenga walimu wanaofundisha darasa la kwanza na la pili,kwa lengo la kuwawezesha kukabiliana na changamoto za stadi za msingi za KKK kwa wanafunzi.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo katika Chuo cha Ualimu Kabanga,Afisa Elimu Taaluma (Msingi) wa halamashauri hiyo,Joseph Maiga amewahimiza walimu kuyatumia maarifa hayo kwa ufanisi na kuhakikisha wanayaeneza kwa wenzao ili kuongeza tija mashuleni.

“Serikali imekuwa ikifanya jitihada kwa kushirikiana na wadau ili kuondoa changamoto hii ya KKK.Mmoja wa wadau wanaotoa mchango mkubwa ni mradi wa Shule Bora,ambao umewekeza katika afua mbalimbali, ikiwemo kuwajengea uwezo walimu wa madarasa ya mwanzo," amesema.

Kwa upande wake, Afisa Elimu Vifaa na Takwimu (Msingi) wa halmshauri hiyo, Paul Joseph, amesisitiza umuhimu wa walimu kuyatekeleza kwa vitendo yale yote watakayojifunza,ili kutoa matokeo chanya oindi tathimini ya mradi itakapofanyika.

Mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo,Sebastian Mkuku, amesema anatarajia mbinu mpya zitakazotolewa zitaboresha ufundishaji shuleni,hasa kupitia uzoefu kutoka shule ambazo tayari zimefanikiwa kuondoa changamoto ya KKK.

Naye Oliver Oscar amepongeza mafunzo hayo na kueleza kuwa siku tatu hizo zitakuwa na mchango mkubwa katika kutokomeza changamoto ya KKK mashuleni,kupitia mbinu bora watakazozipata kutoka kwa wawezeshaji.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • MAFUNZO YA SIKU TATU YA KKK KWA WALIMU WA DARASA LA KWANZA NA LA PILI YAFIKIA TAMATI KASULU

    June 05, 2025
  • KASULU DC YAENDELEA KUWAJENGEA UWEZO WALIMU WA MADARASA YA AWALI

    June 03, 2025
  • VIONGOZI WA TAASISI ZA ELIMU NA IDARA YA AFYA KASULU WATAKIWA KUSIMAMIA USAFI WA MAZINGIRA

    June 02, 2025
  • PAMBA KUINUA UCHUMI WA WAKULIMA

    May 08, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.