• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

IDARA ZA ELIMU MSINGI NA SEKONDARI ZANG'ARA MATOKEO YA MITIHANI YA TAIFA KWA MWAKA 2023

Posted on: January 16th, 2024

Na Mwandishi Wetu

Halamshauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma kupitia idara ya elimu sekondari imefanikiwa kushika  nafasi ya kwanza  kimkoa katika mtihani wa kidato cha sita kwa mwaka 2023.

Hayo yamebainishwa na Afisa Mipango wa Halmashauri hiyo, Rebeka Harmon kwenye Kikao cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika jana  kilichojikita kujadili mapendekezo ya mpango wa bajeti ya mapato na matumizi pamoja na miradi ya maendeleo kwa mwaka 2024/2025.

Amesema tofauti na mafanikio hayo pia idara ya elimu ya msingi kwa mwaka huo  walifanikiwa kushika nafasi ya pili kimkoa katika mtihani wa darasa la saba   na kujenga taswira nzuri kwenye halmashauri linapozungumziwa suala la taaluma.

Aidha, Rebeka amebainisha kuwa halmashauri imefanikiwa kupima eneo la hekari 49 kwa kampuni ya TACECO  kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha Saruji uwekezaji unaotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwaka 2024.


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo,Joseph Kashushura ambaye alikuwa mwenyekiti wa kikao hicho amewataka wakuu  wa idara na vitengo kutambua kuwa kuna jicho la tatu linaloangalia  utendaji kazi wao ambalo ni vyama vya wafanyakazi.

“Niwakumbushe watumishi tuwe na vikao kama hivi kwa ajili ya kuwekana sawa kiutendaji, hapa si kwamba tunapigana madongo bali tunajiboresha  tuweze kusonga mbele ili wale wanaotuangalia kwa nje waone tunafanya kazi vizuri,” amesema.


Naye Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo, Mageni Pondamali amewataka watumishi wa afya kuwa na lugha nzuri kwa wateja pamoja na kujiepusha na vitendo vya rushwa na ulevi uliopindukia.

Kwa upande wake Katibu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) mkoani humo, Johnson Muyombya amesema kikao hicho majadiliano yake yametoa mwanga katika kutatua kero za wafanyakazi.  

Tofauti na TALGWU kikao hicho pia kilikuwa na wawakilishi kutoka  Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) pamoja na Chama cha Walimu Tanzania (CWT).

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO ILIYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI February 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA February 21, 2024
  • MWALIKO WA ZABUNI KUPANGISHA ENEO KWAAJILI YA MGAHAWA March 08, 2024
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WAHASWA KUFANYA KAZI KWA BIDII

    April 29, 2025
  • MAWAKALA WA VYAMA KURUHUSIWA KITUONI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA

    April 29, 2025
  • MAWAKALA WA VYAMA KURUHUSIWA KITUONI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA

    April 29, 2025
  • KASULU YASHUHUDIA MAENDELEO MAKUBWA MIAKA 61 YA MUUNGANO

    April 26, 2025
  • Angalia Zote

Video

NAIBU WAZIRI OR-UTUMISHI NOV 2022
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • KIGOMA DC
  • NACTE
  • NECTA
  • eMrejesho

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2024 kasuludc . All rights reserved.