• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA KASULU

Posted on: July 30th, 2018

Na.Andrew Mlama.

Waziri Mkuu Kasim Majaliwa (MB) amefanya ziara mjini kasulu ambapo amepokelewa na kuzungumza na wakazi wa maeneo mbalimbali ya mji na wilaya ya Kasulu.

Akizungumza na wakazi hao, waziri Majaliwa amewataka wananchi kuendelea kuwaamini viongozi wao katika utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi unaofanywa na Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Mh.Rais John Pombe Magufuli.

Ameeleza kuwa, Serikali haitosita kuwachukulia hatua watumishi wa umma walio wazembe  na kuwataka wahakikishe wanatumia siku tatu kati ya tano za kazi kwa kwenda maeneo walipo wananchi ili kuwasiliza na kutatua kero zao pamoja na migogoro badala ya kushinda ofisini.

                                          

Amesisitiza kuendelea kuboresha huduma ya maji katika mji wa Kasulu kutokana na kukua  kwa kasi na kuhitaji huduma hiyo kwa kiasi kikubwa na uhakika. Aidha utekelezaji wa kurekebisha miundo mbinu ya barabara za mji kwa kiwango cha lami, zenye urefu wa km 6 unaendelea.

Amesema suala la usambazaji wa umeme, Serikali imedhamiria kila nyumba ya mtanzania itapata  umeme kwa kupunguza gharama za uwekaji huduma hiyo  toka Shilingi 380,000  mpaka 27,000 tu. Aidha Amesisitiza kutoendelea kwa gharanma za kulipia nguzo za umeme ambapo amefafanua kuwa jukumu hilo litabebwa na  serikali sio mwananchi.

Amewataka wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama kushirikiana na taasisi zinazohusika kudhibiti mipaka ili kuzuia wimbi la wahamiaji haramu kutoka nchi  ya Burundi wanaoingia nchini kinyume  na sheria pia kuingiza silaha. Udhibiti huo ufanyike kwa wafanyabiashara pia ili walipe ushuru wanapotoa na kuingiza bidhaa nchini.

Waziri mkuu ameahidi kurudi mkoani hapa tarehe 30.09.2018 ili kufuatilia utekelezaji wa maagizo yake pia  kuzunguukia wilaya ambazo hajazitembelea ili kujionea utekelezaji wa miradi mbalimbali hususani  wilaya ya kasulu vijijini, Kibondo na Kakonko.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA February 11, 2019
  • TANGAZO LA AJIRA December 24, 2018
  • USAJIRI WA MAKAMPUNI YA BIASHARA KWA NJIA YA MTANDAO NA TAARIFA MBALI ZA USAJIRI BIASHARA May 16, 2018
  • MWENGE WA UHURU KUINGIA KASULU APRILI 2018 April 15, 2018
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • ZAIDI YA BIL.48 ZAKISIWA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO KASULU

    February 23, 2019
  • "SHIRIKIANENI KATIKA UTENDAJI KUPATA MATOKEO MAKUBWA" DED KASULU

    January 07, 2019
  • WAZIRI PROF. MBARAWA AONYA MAKANDARASI MIRADI YA MAJI KASULU.

    November 28, 2018
  • MAFUNZO YA AWALI YA MIPANGO NA BAJETI YA MASUALA YA LISHE YAFANYIKA KASULU.

    November 23, 2018
  • Angalia Zote

Video

Mapokezi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru-2017
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • safari_Live
  • safaridemo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard
  • Kigoma dc
  • Nacte
  • Necta

Kihesabu watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Copyright ©2019 kasuludc . Haki zote Zimehifadhiwa.