Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Joseph Kashushura (mwenye kofia) na Katibu Tawala wa Wilaya ya Kasulu Mughuha Titus (mwenye track suit) wakiangalia mchezo wa ujirani mwema kati ya timu ya Wilaya Kasulu na timu ya mkoa wa Makamba uliofanyika nchini Bururundi, katika mchezo huo wenyeji walishinda kwa njia ya matuta.
Na Respice Swetu
Published by G.Msonge
HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
Anuani ya Posta: S.L.P 97
Simu ya Mezani: +255-028-2810339
Simu: +255-028-2810339
Barua Pepe: ded@kasuludc.go.tz
Copyright ©2021 kasuludc . All rights reserved.