• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kasulu District Council
Kasulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo-Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
      • MRADI WA UMWAGILIAJI TITYE
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Taratibu
    • Huduma Kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Makala
    • Matangazo

KASULU KUTUMIA BILIONI 39 KWA MWAKA 2018/2019

Posted on: March 24th, 2018

Na Bonaventura Kidara, Kasulu.

Halmashauri  ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma inategemea kutumia kiasi cha bilioni 39 fedha za Kitanzania katika kipindi cha mwaka wa fedha 2018/2019.

Hayo yamebainika katika kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Kasulu kilichofanyika hivi karibuni kupitia kupitia maksio ya mpango wa bajeti ya halmashauri hiyo.

Akiongea, Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Kasulu, Mheshimiwa Said Ndiyunze amesema kuwa changamoto za kushuka kwa bei za mazao ya chakula zinaonyesha namna shughuli za kilimo zinavyofanikiwa wilayani humo.

Taarifa ya mapitio ya bajeti iliyowasilishwa katika kikao hicho, imebainisha vipaumbele vya halmashauri hiyo kuwa ni uboreshaji wa ufaulu wa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, uimarishaji wa kilimo, kuongeza ukusanyaji mapato na kuboresha mazingira ya kazi na watumishi.

Katika juhudi za kutekeleza vipaumbele hivyo, baraza hilo la madiwani limepitisha maombi maalumu ya sh. bilioni 4.6 zitakazotumika kununua magari manne kwa ajili ya matumizi ya Mkurugenzi wa halmashauri, Idara ya mipango, na idara mbili za elimu msingi na sekondari.

Malengo mengine ya maombi ya fedha hiyo ni ujenzi wa miundombinu ya hospaitali ya wilaya na kupunguza deni la shilingi bilioni 2 wanazodai wazabuni na wakandarasi wa halmashauri yenyewe.

Aidha, baadhi ya waheshimiwa Madiwani walionesha wasiwasi kuhusu uhalisia wa makisio ya bajeti iliyowasilishwa kutokana na kuporomoka kwa bei za mazao, ikilinganishwa na kipindi yalipofanyika makisio hayo.

 "Tulitarajia mapato ya ndani ya kutosha kutokana na ushuru na tozo za mazao, lakini kutokana na wingi wa mavuno baadhi ya mazao bei zimeporomoka huku zao la tumbaku likikosa wanunuzi, hali hii itakwamisha malengo yetu." Alisema diwani wa Rungwempya, Mh. Jonas Abel.

Matangazo

  • MWENGE WA UHURU KUINGIA KASULU APRILI 2018 April 15, 2018
  • KUITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA MAAFISA USTAWI WA JAMII APRILI 5 NA 6 March 28, 2018
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MAAFISA WATENDAJI WA VIJIJI KASULU DC March 23, 2018
  • NAFASI ZA KAZI USTAWI WA JAMII February 19, 2018
  • Angalia Zote

Taarifa Mpya

  • MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2018 KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA KASULU.

    April 18, 2018
  • KASULU KUTUMIA BILIONI 39 KWA MWAKA 2018/2019

    March 24, 2018
  • UKARABATI WA MIUNDOMBINU YA MAJI RUSESA NA KWAGA KUANZA

    March 24, 2018
  • UWASILISHAJI WA "KIONGOZI CHA UTARATIBU WA MAFUNZO ELEKEZI YA AWALI KWA WATUMISHI WAPYA WA SEKRETARIETI ZA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA" WAFANYIKA

    September 07, 2017
  • Angalia Zote

Video

Mapokezi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru-2017
Video zaidi

KURASA ZA KARIBU

  • PlanRep_Web_Based
  • FFARS Online Manual
  • PlanRep Online Manual
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • Idara ya Mipango
  • FFARS demo
  • Dashibodi ya Ukusanyaji wa Mapato
  • UNICEF Dashboard
  • Kamusi Eng & Swa

TOVUTI ZINAZOHUSIANA

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • UTUMISHI
  • IKULU
  • ARIDHI
  • OPEN UNIVERSITY
  • PSPTB
  • AJIRA
  • HFR Dashboard

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

    Anuani ya Posta: S.L.P 97

    Simu ya Mezani: +255-028-2810339

    Simu: +255-028-2810339

    Barua Pepe: kasulucouncil@yahoo.com : kasuludc@gmail.com

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera Ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma
    • Wasiliana Nasi

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kasulu . Haki zote zimehifadhiwa.